Skip to main content

Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo Urambazajiorodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipediaMakala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahilicapacitorclassical mechanicsconservation of energydifferential equationelectronic music(mathematics) functiongeneral relativityinductorinfinitymathematical analysismathematical proofnumber theorynumerical analysisoperating systemphysical chemistryprogramming languagequantum mechanicsset theorystrong interactionweak interaction

Multi tool use
Multi tool use

Kamusi Elezo za Wikiorodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipediaMakala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_KiswahiliBrussels












Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo




Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Jump to navigation
Jump to search


Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo: ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.


Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo kuhusu makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.


Hapo chini ni mada katika Wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni Wikipedia kubwa zaidi na hivyo ni ya msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha Wikipedia za lugha mbalimbali.
Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.


Kila mwanawikipedia anaombwa


    • kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina jekundu upande wa kulia kutaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni jina la Kiingereza bado, ulitafsiri kabla ya kuanza.

    • Kuboresha michango katika orodha ya "makala 1000" kwa kuiongeza matini maana nyingine bado ni fupi sana



Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha Wikipedia mbalimbali zinaweza kukosea. Kwa mfano hazikutambua makala ya "Brussels" katika Wikipedia yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala ipo. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya Wikipedia ya Kiswahili.


Kwa orodha kamili ya makala zote 1000 tazama hapa: Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo/Zote 1000.


Baada ya kumaliza kuna pia orodha iliyopanuliwa ya makala 10,000 Meta:List of articles every Wikipedia should have/Expanded


Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 za msingi


(hali ya Aprili 2019) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa Wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)


OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!



  1. capacitor - sw: kapasita


  2. classical mechanics - sw: umakanika kawaida


  3. conservation of energy - sw: kanuni ya hifadhi ya nishati


  4. differential equation - sw: mlinganyo tenguo


  5. electronic music - sw: muziki elektroniki


  6. (mathematics) function - sw: namba tegemezi


  7. general relativity - sw: uhusianifu majumui


  8. inductor - sw: kidukizi


  9. infinity - sw: msopeo? - bila kikomo ?


  10. mathematical analysis - sw: uchambuzi wa kihisabati


  11. mathematical proof - sw: thibitisho la kihisabati


  12. number theory - sw: nadharia ya namba


  13. numerical analysis - sw: uchambuzi namba


  14. operating system - sw: operating system


  15. physical chemistry - sw: kemia ya fizikia


  16. programming language - sw: lugha ya programu


  17. quantum mechanics - sw: umakanika kwanta


  18. set theory - sw: nadharia seti


  19. strong interaction - sw: mtagusano madhubuti


  20. weak interaction - sw: mtagusano dhaifu




Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Wikipedia:Makala_za_msingi_za_kamusi_elezo&oldid=1064832"










Urambazaji


























(RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.020","walltime":"0.023","ppvisitednodes":"value":7,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":0,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":0,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":2,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":0,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 0.000 1 -total"],"cachereport":"origin":"mw1306","timestamp":"20190525172808","ttl":2592000,"transientcontent":false);mw.config.set("wgBackendResponseTime":102,"wgHostname":"mw1326"););0x8hM kMOY72mbT,uF jayB43KmBIEaCKZ2Y6AZv1EeV U,RK3T TfMZN,4HOErvmjLikPyMIG2rvmi
8Mf3,cEw92aHVhBg8mD2,d,zJ51u8,V2bo85DFx5nJg mXnG,K4hdL7QjRtBWuP2a6

Popular posts from this blog

RemoteApp sporadic failureWindows 2008 RemoteAPP client disconnects within a matter of minutesWhat is the minimum version of RDP supported by Server 2012 RDS?How to configure a Remoteapp server to increase stabilityMicrosoft RemoteApp Active SessionRDWeb TS connection broken for some users post RemoteApp certificate changeRemote Desktop Licensing, RemoteAPPRDS 2012 R2 some users are not able to logon after changed date and time on Connection BrokersWhat happens during Remote Desktop logon, and is there any logging?After installing RDS on WinServer 2016 I still can only connect with two users?RD Connection via RDGW to Session host is not connecting

Vilaño, A Laracha Índice Patrimonio | Lugares e parroquias | Véxase tamén | Menú de navegación43°14′52″N 8°36′03″O / 43.24775, -8.60070

Cegueira Índice Epidemioloxía | Deficiencia visual | Tipos de cegueira | Principais causas de cegueira | Tratamento | Técnicas de adaptación e axudas | Vida dos cegos | Primeiros auxilios | Crenzas respecto das persoas cegas | Crenzas das persoas cegas | O neno deficiente visual | Aspectos psicolóxicos da cegueira | Notas | Véxase tamén | Menú de navegación54.054.154.436928256blindnessDicionario da Real Academia GalegaPortal das Palabras"International Standards: Visual Standards — Aspects and Ranges of Vision Loss with Emphasis on Population Surveys.""Visual impairment and blindness""Presentan un plan para previr a cegueira"o orixinalACCDV Associació Catalana de Cecs i Disminuïts Visuals - PMFTrachoma"Effect of gene therapy on visual function in Leber's congenital amaurosis"1844137110.1056/NEJMoa0802268Cans guía - os mellores amigos dos cegosArquivadoEscola de cans guía para cegos en Mortágua, PortugalArquivado"Tecnología para ciegos y deficientes visuales. Recopilación de recursos gratuitos en la Red""Colorino""‘COL.diesis’, escuchar los sonidos del color""COL.diesis: Transforming Colour into Melody and Implementing the Result in a Colour Sensor Device"o orixinal"Sistema de desarrollo de sinestesia color-sonido para invidentes utilizando un protocolo de audio""Enseñanza táctil - geometría y color. Juegos didácticos para niños ciegos y videntes""Sistema Constanz"L'ocupació laboral dels cecs a l'Estat espanyol està pràcticament equiparada a la de les persones amb visió, entrevista amb Pedro ZuritaONCE (Organización Nacional de Cegos de España)Prevención da cegueiraDescrición de deficiencias visuais (Disc@pnet)Braillín, un boneco atractivo para calquera neno, con ou sen discapacidade, que permite familiarizarse co sistema de escritura e lectura brailleAxudas Técnicas36838ID00897494007150-90057129528256DOID:1432HP:0000618D001766C10.597.751.941.162C97109C0155020