Kikabiye Viungo vya nje | Urambazajilugha ya Kikabiye kwenye Multitreemakala za OLAC kuhusu Kikabiyelugha ya Kikabiye katika Glottologkuihariri na kuongeza habari
Mbegu za lughaLugha za TogoLugha za BeninLugha za Ghana
lugha ya Kiniger-KongoTogoBeninWakabiye
Kikabiye
Jump to navigation
Jump to search
Kikabiye ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Benin inayozungumzwa na Wakabiye. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikabiye nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 700,000. Pia kuna wasemaji 30,000 nchini Benin, na wengine nchini Ghana upande wa Kaskazini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikabiye iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje |
- lugha ya Kikabiye kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikabiye
- lugha ya Kikabiye katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kbp
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikabiye kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Jamii:
- Mbegu za lugha
- Lugha za Togo
- Lugha za Benin
- Lugha za Ghana
(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.008","walltime":"0.012","ppvisitednodes":"value":15,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":587,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":0,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":2,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":0,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 3.036 1 Kigezo:Mbegu-lugha","100.00% 3.036 1 -total"],"cachereport":"origin":"mw1325","timestamp":"20190401033712","ttl":2592000,"transientcontent":false);mw.config.set("wgBackendResponseTime":92,"wgHostname":"mw1253"););